TATIZO LA KUWASHWA BAADA YA KUOGA NA MATIBABU YAKE.(AQUAGENIC URTICARIA)
Aquagenic urticaria ni hali ambayo sio ya kawaida ambayo hutokea pale mtu anapowashwa baada ya kuoga au kugusa maji, tafiti zinaonyesha kwamba hali hii inasababishwa na mgonjwa kua na allergy ya maji.
Mgonjwa huweza kuwashwa na maji ya bomba, bahari, ziwani, mto, mvua, machozi, jasho, na kadhalika.Baadhi ya watafiti huamini kwamba kuwashwa huko kunaweza kunasababishwa na kemikali ambazo huwekwaa ndani ya maji kuua bacteria mfano chlorine lakini maelezo haya hayajitoshelezi kwani kuna watu wanawashwa mpaka na maji ya mvua ambayo haya kemikali yeyote.
dalili ni zipi?
Unapopata allergy ya kitu chochote mwili wako hutoa kemikali moja inaitwa histamine kupambana na hicho kitu ambacho mwili wako unatafsiri kama adui na matokeo yake unawashwa. Kwa kawaida mtu hupata dalili za vipele, kuwashwa mwili mzima,ngozi nyekundu kwa watu weupe, na kwa dalili mbaya sana mtu huweza kushindwa kupumua, kushindwa kumeza na kuanza kukoroma wakati wa kupumua.
jinsi ya kutambua ugonjwa
Daktari huchukua maelezo yako na kukagua ngozi yako lakini pia anafanya majaribio kwa kuweka maji kwenye mwili wako na kuangalia matokeo ambayo mara nyingi hutokea baada ya dakika 15. Dalili hizi zikianza baadhi ya vipimo vya damu kama full blood picture huweza kuonyesha kuongezeka kwa kiwango cha seli mwilini kinachohusika na allergy kitaalamu kama easinophil.
matibabu
Duniani kote hakuna dawa ya kutibu allergy na kuimaliza lakini kuna dawa za kuondoa dalili hizi za kuwashwa. Dawa kama aina ya anthistamine kama piriton au citrizine unaweza kumeza kidonge kimoja nusu saa kabla ya kuoga lakini pia badilisha mfumo wako wa maisha kwa kujiepusha na shughuli zote ambazo zinakuhusisha na kuloa maji.
STAY ALIVE
Your article helped me a lot, is there any more related content? Thanks!
Thank you for your sharing. I am worried that I lack creative ideas. It is your article that makes me full of hope. Thank you. But, I have a question, can you help me?
Can you be more specific about the content of your article? After reading it, I still have some doubts. Hope you can help me.
Can you be more specific about the content of your article? After reading it, I still have some doubts. Hope you can help me. https://accounts.binance.com/en-IN/register-person?ref=UM6SMJM3
I’ve recently started a site, the info you provide on this website has helped me tremendously. Thanks for all of your time & work. “Marriage love, honor, and negotiate.” by Joe Moore.
Your point of view caught my eye and was very interesting. Thanks. I have a question for you.
Thanks for sharing. I read many of your blog posts, cool, your blog is very good.
Your article helped me a lot, is there any more related content? Thanks! https://www.binance.com/bn/register?ref=UM6SMJM3
Your article helped me a lot, is there any more related content? Thanks!
I like what you guys are up too. Such smart work and reporting! Carry on the superb works guys I have incorporated you guys to my blogroll. I think it’ll improve the value of my web site 🙂
Thank you for your sharing. I am worried that I lack creative ideas. It is your article that makes me full of hope. Thank you. But, I have a question, can you help me?