Friday, April 12, 2024

Jifunze, Chukua Hatua Kuboresha Afya Yako

Afya ya uzazi

FAHAMU TATIZO LA MZIO WA SHAHAWA KWA WANAWAKE NA MATIBABU YAKE. (SPERM ALLERGY)

Allergy ya shawaha au mbegu za kiume ni ya aina ya allergy kama allergy zingine na tafiti nchini marekani zinaonyesha kwamba zaidi ya wanawake 40000 ni waathirika wa tatizo hili. lakini pia tafiti zinaonyesha kwamba baadhi ya waanume pia wanaweza kua na allergy na shahawa zao wenyewe.

dalili ni zipi?

Dalili za allergy ni kama kuwashwa, kuvimba, kua mwekundu, na maumivu na dalili hizi hutokea sehemu ambazo mbegu zinakua zimemwagika kama ndani ya uuke, mikononi, kifuani, mdomoni, na kadhalika

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *